Our Design Process

Juabar Design is a design-build start-up using co-design principles to develop products and services which leverage technology to meet user needs. The Juabar charging kiosk is a pop-up business and solar-powered charging kiosk. Co-designed with and for off-grid Tanzanians, we developed a whole business approach to providing the service of electricity. Its design considers security, modularity, locally available materials and manufacturing, and ease-of-use for its operators.

True to our co-design ethos, our venture began as a design research project in 2011 to understand the energy experience of Tanzanians and solar energy market in Tanzania as part of our MBA in Design Strategy program at the California College of the Arts in San Francisco, USA. We later developed our concept specifically targeted to entrepreneurs and co-designed the initial prototypes with Tanzanian solar technicians and fabricators. We have iterated the design of our prototypes with input from current entrepreneurs, who have been operating the prototype kiosks since August 2012.

KioskInDetail


Ruwaza/Muundo: Ruwaza ya Juabar ni anzilishi, na imetumia kanuni-ambatani za kimuundo, ili kukuza bidhaa na huduma zenye kuwezesha teknolojia kukutana na mahitaji ya watumiaji. Kibanda cha Juabar cha utiaji umeme ni biashara anzilishi na Kibanda kinachojitia nguvu kwa njia ya sola. Kwa kushirikiana na Watanzania wasokuwa na nguvu za umeme, tulizua mtazamo mzima wa kibiashara wa kutoa huduma za umeme. Muundo wake unajumuisha usalama, urekebishaji, mali ghafi inayopatikana mumu humu na uzalishaji, na urahisi wa kutumiwa. Sawa na maadili ya Wanaruwaza-wenza, shughuli hii ilianza kama ruwaza ya mradi wa utafiti mwaka wa 2011, tukitaka kufahamu tajriba ya Watanzania katika matumizi ya nguvu za umeme na soko la nguvu za sola nchini, kama sehemu ya shahada yetu ya uzamivu katika Ruwaza ya Mikakati katika Chuo cha Sanaa cha Kalifonia, nchini Marekani. Baadaye tulizua dhana maalum kwa wanabiashara, na kuziunada na mafundi wenza wa mitambo kutoka Tanzania. Tumesisitiza muundo wa sampuli zetu, pamoja na mchango wa wajasiriamali ambao wamekuwa wamekuwa wakiendesha vibanda hivi tangu Agosti, 2012.